Tumebobea katika masuala ya uongozi bora na sera zake.
Mvi zetu ni idhibati tosha ya kwamba busara u miongoni mwetu…

Kaka musa , usije ukapotosha umma eti mtazamo wetu ni chanya.
Unayempigia upatu amefeli mara elfu na moja.
Kwa mfano;
Huduma za matibabu kwa walimu hapa county ya kisii ni za kugutusha.
Uhamisho wa walimu kiholela kwa kuwa na ukinzani na mamlaka ya ubabe ni tisho kwetu. Yamefanyika ili kuadhibu mwalimu na hakuna alofanya.
Afisi, na ukumbi wa kongamano za walimu wa Kuppet u wapi?
Ushirika na mashirika mbalimbali kuinua huduma kwa walimu zi wapi?
Tunauliza induction kwa walimu wanaoingia profession ilifanyika mara ya mwisho lini?
Musa na walimu wa mtazamo wenu ,tunawaomba pevuka, ingia ligi ya ushindi ndugu.
Hatuna majitapo sisi bali ukweli na haki kwa walimu wapendwa