
H. E. Musalia Mudavadi spoke KAMEME FM this morning. The show stated at 7.30 am. Here are some of his statements Serikali ya Kenya imeshikwa na FULIZA ya mataifa ya nje.
Mzigo wa madeni ya Kitaifa inawafinya wakenya.
Ushuru utapanda katika kila sekta ili tuweze kulipa madeni. Anaye umia ni mkenya wa kawaida.: Next year by November, we will be bowing to one president…..I’m trying to armtwist my ancestors to hear my prayers.
Mudavadi on KAMEME amekana kuwa Uhuru anampendekeza kumrithi. Kwamba kupendekezwa na Rais kuna mkosi wa kushindwa, kwa kuzingatia historia ya siasa za Kenya.
Musalia Mudavadi also spoke on rotational PRESIDENCY.
Matamshi ya Rais sio matamshi ya kuchukuliwa kimzaha.
Rais alizungumza akijua yeye ni mkikuyu.
Ni kweli kwamba wakikuyu na Wakalenjin ndio wameongoza nchi hii kwa miaka 58.
Uhuru hakusema mtu flani asipewe uongozi.. alitoa tu mjadala. Sioni shida na matamshi hayo.
#PeterAmunga
#MudavadiSpeaks